Hamida Abdallah Aanza kwa Kuibariki Safari ya Kuwatumikia wana Lindi Mjini.
Mh Hamida Abdallah, mbunge jimbo La Lindi mjini akutana na viongozi mbalimbali wa taasisi za dini na baadhi ya wazee kutoka Lindi Mjini, Kwa dhumuni la kupata Baraka zao na dua njema kabla ya Kuanza Kutekeleza majukumu yake.
Comments
Post a Comment