MH. Hamida Abdallah Awakaribisha Madiwani Kuanza Safari ya Kutumikia Wananchi
Mbunge wa Lindi Mjini, Hamida Abdallah . Amewaomba madiwani kutoka jimbo la Mchinga na Lindi Mjini kushirikiana kuleta maendeleo katika manispaa hiyo. Hamida, Amezungumza hayo katika tukio la kuwaapisha madiwani hao lililofanyika katika ukumbi wa mtakatifu ANDREA KAGWA mjini Lindi.
Tumeamini kisha tukakuamini na kukupa nafasi ya uwakilishi wa wanalindi mbele ya serikali , kuwa wa tofauti mh. Hamida , usikubali kulala , usikubali kukaaa kimya na usikubali ndani ya kipindi chako cha nafasi ya dhati lindi ibaki bila mabadiliko. Kikubwa wasilisha changamoto zitakazoleta tija na utatuzi wa haraka ili kuibadilisha lindi. Tupo vijana tuna mambo mazuri lakini tunakosa namna nzuri ya kuyaonesha yakapewa support...matumaini yetu kwa kipindi chako utamfikia kila mwanalindi ili uweze kufahamu na kujifunza mengi.
ReplyDelete